Kisangu (Gabon)

Kisangu ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wasangu. Isichanganywe na Kisangu cha Tanzania. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisangu imehesabiwa kuwa watu 20,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisangu iko katika kundi la B40.


Developed by StudentB